Kipindi cha Cheaters...

sarikoki

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
1,194
Reaction score
721
Aisee hii reality TV show ni noma......hawa jamaa wasije fungua tu branch bongo maana itakua ni balaa. Huwa naiangaliaga kimachale..... ..inafundisha sana. kwikwikwi.
 
wakileta huku itakuwa hatari ndoa nyingi zitavunjika, mi huwa nakipenda hicho kipindi.
 
Cheaters kiboko aise. Huwa nacheka vile wanawafuatilia for days hao cheaters. Unakuta jamaa au demu anatoka kwake anaaga anaenda kazini kumbe anaenda parking lot anabadilisha gari anaenda kukamuliwa. Siku ya kwanza, ya pili, ya tatu. By the time they confront them wanakuwa na ushahidi wa video kabisa. And for some reason they always catch them at some restaurant or exiting some apartment, yaani angle ambazo huwezi kukimbia. Sasa wakileta bongo na hii excuse ya foleni itaisha kutumika.
 
Mbona mie naona wana-act kabisa?! Yaani nimwache mume kisa kachit tu? Hiyo ndoa ilikuwa imekufa siku nyingi labda.
 

Najiulizaga zile camera wanazitegaga saa ngapi......aisee
 
Mbona mie naona wana-act kabisa?! Yaani nimwache mume kisa kachit tu? Hiyo ndoa ilikuwa imekufa siku nyingi labda.

Hahaha....inategemea na mtu.....naona wewe na Surprise mko pamoja.,,,
 
unaweza kumwacha mume kwasababu ipi kubwa kwako?

Jamaa yake yuko very lucky....sisi wengine hata kuongozana na wanawake tunaogopa....wengine wanaruhusiwa hata kugegeda kabisa....this is not fare.
 
Mkuu wale jamaa ni noma. They do their research. Yaani ikifika bongo ndoa nyingi sana zitavunjika.

Hatachomoka mtu.....wale jamaa wanakusanya evidence ambazo ukionyeshwa uchomoi.....
 
Kabisa....ila tutegemee murder case nyingi sana kwa mda mfupi.....mpaka tuzoee kutakua hamna aliyebakia.

Hahahaaa,may kabla hawajaanza 'operation' zao waintroduce kwanza darasa la kucontrol 'tempa'
 
Hahahaaa,may kabla hawajaanza 'operation' zao waintroduce kwanza darasa la kucontrol 'tempa'

Ha ha ha hiyo mkuu haitasaidia. Unajua wanaume wa ki-Afrika tunapenda kugegeda wanawake wa wenzetu ila wakigegedwa wa kwetu hatukubali. Very ironic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…