Mimi huwa napata taabu pale Watanzania kwa ujumla wetu nchi nzima tunapolazimishwa kuangalia sherehe za Arusi kwa takribani muda wa saa moja kipitia kipindi cha Chereko.Isinge nisumbua kama kipindi hiki kingerushwa na Television binafsi lakini kwa TBS ambayo ni chombo cha umma haiingii akilini.Yapo mambo mengi ambayo TBS kama chombo cha umma kinapaswa kuyatangaza lakini si hili la Arusi ambalo limekaa kibinafsi mno kuangaliwa na Taifa zima kwa muda wa saa takribani moja.
Nashukuru kwa marekebisho.Naelewa wazi kuwa vipindi hivyo havirushwi bure lakini vile vile ukumbuke TBC ni Chombo kinachoendeshwa kwa kodi yangu na wewe swali la kujiuliza hapa ni huyu mtu mwenye Arusi analipa hela kiasi gani mpake amilikishwe Television ya Watanzania wote kwa muda wa saa moja.Japo Mimi sio msemaji wa TBC, lakini hapa unalalamikia TBS au TBC? maana umeandika TBS x 2
hayo matangazo unayoyaona ya chereko, harusi na misiba ni sehemu ya TBC kujipatia kipato cha ziada hawafanyi bure, hii ni pamoja na matangazo mengine ......... mbona kuna vipindi vingi vya kitaifa vinavyorushwa na TBC?
..............sawa na ule wa kuvisha maiti suti na viatu na sim ya BB pembeni !
................na kumtolea heshima za mwisho, hali ni maiti ?
mie napenda sana nyimbo zinazopigwa katika hiko kipindi cha bango tatizo sizijui majina yake. kwa anaejua plz naomba anijuze nikazidownload.
walahi umenichekesha mpaka mtoto alieko tumboni karuka lol,asa umtandikie nini!?
.................. Na kumfundisha atakavojibu malaika hali ni maiti?
du! Kweli huna roho ngumu,yaani zile nyimbo nikizisikia tu huwa natoka sebleni maana huwa zinanikumbusha mengi.
Nashukuru kwa marekebisho.Naelewa wazi kuwa vipindi hivyo havirushwi bure lakini vile vile ukumbuke TBC ni Chombo kinachoendeshwa kwa kodi yangu na wewe swali la kujiuliza hapa ni huyu mtu mwenye Arusi analipa hela kiasi gani mpake amilikishwe Television ya Watanzania wote kwa muda wa saa moja.
Kwa upande mwingine vipindi kama hivi vikiendeshwa na television binafsi vitakuwa na faida kubwa kwa Watanzania wote kwa sababu malipo yatakayopokelewa na vituo binafsi bado yatakatwa kodi ya ongezeko la thamani(VAT) na Kodi ya Mapato pato ambalo baadaye litatumika kuimarisha huduma mbalimbali za Umma.
................na kumtolea heshima za mwisho, hali ni maiti ?