Sahihi kabisa mzee baba.Bonnge moja la point.........unakuta mtu yuko kwenye mahusiano anachanganywa na mazur tu haangalii mabaya mwisho wa siku wakiingia kwenye ndoa ndo mziki unaanzia hapo anaanza kutiatia huruma as if watu walimchagulia mume au mke
Mm hata kabla cjakudate lazima nijue ww weakness zako ni zipi na niangalie kama nitaweza kuzivumilia au siwez kama siwez kaa mbaliiii!!!!labda tuchangamshe viungo tu
Umenifikilisha mkuuMapenzi ukitaka kuyapima basi angalia tu kuhusu mabaya kama unaweza kuyabeba na kuyavumilia.
Asili yetu binadamu tumeumbwa na mambo mazuri na kupenda mazuri,hivyo mtu akikupenda kwa mazuri tu huyo hajakupenda bali ndio asili yake tokea kuumbwa. Kuna watu wanadhani mfano mwanaume kukupenda basi akusaidie fedha,,akusaidie kazi,akuhurumie,awe mpole na kadhalika.
Hivi sio vipimo sahihi vya mapenzi. Kwa sababu wapo wanaume wanaweza kuwa wanahuruma kwako laiini huruma katika nayo kwao ndio nature hivyo atakuwa na huruma hata kwa asiyekuwa wewe.
Wapo wanaume watakuwa wapole lakini upole wake sio kwa sababu kakuoenda bali kwa sababu kazaliwa ama kalelewa hivyo. Wapo wanaume wanaweza kukusaidia kazi,lakini anakusaidia sio kwa sababu anakupenda bali ndo kalelewa ama kakulia hivyo.
Sasa unaweza kukutana na mwanaume ukadhani tabia zake anazofanya anafanya kwa kukupenda kumbe anafanya kwa sababu ndio tabia zake hivyo atamfanyia kila mtu.
Kwa mtu wa aina hii ni ngumu kung'amua kwa vipi anakupenda. Ili ujue kakupenda usiangalie anakufanyia nini. Ili ujue kakupenda angalia anayavumilia vipi mapungufu yako.
Mapungufu ndio msingi wa kuyajua mapenzi.
Karibu kwa mjadala.
Kuna watu wanaongea vitu sivyo sana kwenye mitandao.Bonnge moja la point.........unakuta mtu yuko kwenye mahusiano anachanganywa na mazur tu haangalii mabaya mwisho wa siku wakiingia kwenye ndoa ndo mziki unaanzia hapo anaanza kutiatia huruma as if watu walimchagulia mume au mke
Mm hata kabla cjakudate lazima nijue ww weakness zako ni zipi na niangalie kama nitaweza kuzivumilia au siwez kama siwez kaa mbaliiii!!!!labda tuchangamshe viungo tu
Ni mapungufu yote ambayo utaweza kiyavumilia hayo ndo niliyoyakusudia.Na hayo Mapungufu ni yapi, je yanavumilika ? Kisa unapendwa na mapungufu yako yakawa unakuwa mgegedwaji/Mgegedaji nje haswa, je uvumiliwe tu kisa mtu kakupenda ?
Hata mpendaji huchagua ya kuvumilia, so be specific, “MApungufu ya kuvumiliwa ni yapi “
Msiwabebeshe wapendaji kuvumilia vit vya Ajabu