Habari wanajukwaa,
Leo napenda kuwahusia vijana wenzangu ambao wamefikia umri wa kuoa kupata chaguo sahihi. Tunaona miaka ya hivi karibuni ndoa nyingi zipo kwenye migogoro ya hapa na pale na nyengine zimevunjika kutokana na kutojuana vyakutosha katika kipindi cha uchumba.
Kitu cha muhimu kipindi cha uchumba ndicho kipindi muhimu hasa katika kufahamiana udhaifu wa kila mmoja. Njia nzuri ya kujua kikomo cha uzalendo wa mwenzi wako mtarajiwa ni kwa kutengeneza kaugomvi kwa makusudi ili umuone akikasirika huwa ana uzalendo wa kupoa ama moto usio zimika.
Jaribio hilo ni zuri maana kwenye ndoa kupishana lugha na kurushiana maneno hutokea mara kwa mara mpaka wengine hujuta kuwa na hao wenza.