Habari Wana JF natumaini muwazima
naomba kuuliza niwapi nitapata kipimo kikubwa Cha afya Yani HIV ambacho kinadetect kwa muda mfupi nanitapatiwa huduma kwa bei gani
Habari Wana JF natumaini muwazima
naomba kuuliza niwapi nitapata kipimo kikubwa Cha afya Yani HIV ambacho kinadetect kwa muda mfupi nanitapatiwa huduma kwa bei gani
Kipimo kinachoweza kukupa majibu kwa uhakika na hara ni Polymerase chain reaction (PCR). Hii ni kwa kuwa chenyewe kinaenda kutambua RNA au DNA ya kiumbe husika.
Maeneo unaweza kupata kwa ninaofahamu:
1: Metropolitan(Kona ya kuelea Muhimbili Hospitali karibu na geti la MUHAS).
2: Aga Khan Hospitali
3: Maabara ya Lacent
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.