The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,259
- 20,518
Mzuqa
Ukiondoa nguvu za kugegeda kifua ni kipimo cha Mwanaume. Yesu licha ya yote mabaya aliyofanyiwa alikausha kupotezea na kukaa kimya.
Mimi nimedhulumiwa hapa kamashilingi 1.6m ni hela yangu niliyoipata kwa Jasho. Tena alivyoniomba ni mkopeshe Ilibidi nibane mda wangu nimfuate na kumpa hels. Ila ananionyesha madharau na kuniblock kila mahali. Kabla ya kuniblock tuliongea naye he was just uttering shyt and nonsense. Prejudice!
Ila baada ya ushauri kwa rafiki na members wa JF nimeamua kukaa kimya japo cha moto nakipata kifuani.
Nilipanga kabisa kulipiza kisasi na bado pia iyo opshen ya kisasi bado ipo ila najitahidi sana kuidhibiti. Kuna watu wanaudhi sana unatamani tu kulipiza kisasi na kucommit suicide na kumwacha hai huku akijuta kwa nini nisingemmaliza kabisa.
Tatizo Mungu ni pendo anawakaushiaga na kuwapotezea watu kama hawa hata yote TUKIMWACHIA.
Taifa stars ishinde tu itatusaidia sana kupunguza maumivu