Kipimo cha mimba

T.K

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
345
Reaction score
75
Wadau naomba mnijuze,

Ni baada ya siku ngapi tangu kutungwa mimba inaweza kuwa detected kwa vipimo? na kipimo gani kiko accurate kujua umri wa mimba?
 
Wiki tatu...pima as soon as you miss your period,kipimo si kile UPT, ama,?
 
Mbona huwa nasikia kuanzia siku 14 tangu tarehe yako ya kati ya mzunguko wa hedhi(siku ya 14, au 15) Ukipima mimba inaonekana? Au nilidanganywa na mtaalam!

Wiki tatu...pima as soon as you miss your period,kipimo si kile UPT, ama,?
 
Toa papuchi uone kama inajotosana kitu Tayari kama la baridi tanua tena mapaja.
 
Baada ya wiki moja ukifanya Urine test inaonekana.
Wadau naomba mnijuze,

Ni baada ya siku ngapi tangu kutungwa mimba inaweza kuwa detected kwa vipimo? na kipimo gani kiko accurate kujua umri wa mimba?
 
Kwa nn unaharakisha kuijua mapema? Muda ukifika utaona tu haupati MP. Au unataka kuandaa plan B?
 
urine test hua ina detect after 2 weeks bt my hubby ilishindwa hata ilipofikisha mwez,,,
so ni better akapima hosp na vipimo vya maana km ultra sound etc
 
Labda Kuna sababu za msingi za kutaka kujua hilo, hasa pengine kama ni mwanafunzi mwanachuo nk ila kama uko kwenye mahusiano na unahitaji mtoto sidhani kama Kuna umuhimu wa kutaka kujua so early
 
urine test hua ina detect after 2 weeks bt my hubby ilishindwa hata ilipofikisha mwez,,,
so ni better akapima hosp na vipimo vya maana km ultra sound etc

Wewe ni jinsia gani na huyo hubby wako ni jinsia gani?

Nahisi kama sielewi lugha hapa...
 
Ni baada ya siku ngapi tangu kutungwa mimba inaweza kuwa detected kwa vipimo? na kipimo gani kiko accurate kujua umri wa mimba?

Utakuwa ushaharibu wewe si bure...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…