Kipimo cha megawatt

Kipimo cha megawatt

Twin_Kids

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
3,992
Reaction score
5,969
Wadau,

Naomba kuuliza wenye ujuzi na mambo ya umeme.

Kitu Megawatt, umeme huo unakuwa na ukubwa(wingi)kiasi gani, kutumika kwake ni kama muda gani! maana naonaga mfano wakiongelea Megawatt 5, wanasifia kama ni jambo la ajabu sana.

Naomba kueleweshwa tafadhali
 
5 MW ni 5000 KW. Ukizalisha kwa saa ni 5000 Kwh. Bei ya Kwh moja ni Tsh 350. So 5 MW ni 5000x350 ni 1.75m tsh. Kwa siku ni 1.75mx24 sawa na 42m kwa siku. Kwa mwezi ni 42 mx30 sawa ma Tsh 1.26 bilioni
Kwa maana, mtu anaetumia Kw 5 kwa siku, kwa muda wa miaka karibia minne ndo atakuwa ametumia Megawatt moja!!
 
Hyo ni unit kama ilivyo kw, ama gigawtt
Ndiyo,nafahamu mkuu. Lengo langu lilikuwa nijue, unit hiyo, umeme huo unaweza kutumiwa kwa muda gani, na una ukubwa gani. Kwa sababu nimekuwa nikiona matangazo kwamba nchi imeongeza Megawatt kama 25, mi naona ni kitu kidogo sana, lakini wanaotangaza ni kama ni kitu cha ajabu sana, ndo nikataka kuelezwa hasa.
 
5 MW ni 5000 KW. Ukizalisha kwa saa ni 5000 Kwh. Bei ya Kwh moja ni Tsh 350. So 5 MW ni 5000x350 ni 1.75m tsh. Kwa siku ni 1.75mx24 sawa na 42m kwa siku. Kwa mwezi ni 42 mx30 sawa ma Tsh 1.26 bilioni
vipi umemuelewa
 
Back
Top Bottom