Kipimo cha damu 'blood group'ni uthibibitisho wa awali wa uhalali wa mtoto?

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
385
Habari wana jf wa majukwaa yote
naomba kujua, mtu kabla hajapima dna anaweza kutumia kipimo cha damu yaani 'blood group' kujua kama mtoto ni wake?
mf:baba ana group 'a' na mama ana group 'b' je mtoto anaweza kuzaliwa na akiwa na group 'o'?
waliobobea kwenye mambo hayo mtusaidie.
 
Mi navojua blood group hainyeshi uhalal wa mtoto hapo ni dna tu

Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
 
hicho unachosema kinawezekana. mf:baba ana group 'a' na mama ana group 'b' je mtoto anaweza kuzaliwa na akiwa na group 'o' jibu ni ndio,mimi nna watoto wawili, mmoja ana group lake mwenyewe, mmoja tumefanana, na mimi na mke wng ni blood group tofauti
 
Group a na group b wanaweza kumzaa group o,ila ila group ab na akikutana na mke wq group a au b awawez kuzaa group o na ikitokea ivo ujue ushachapiwa
 
Itafanya kazi vizuri kama baba na mama wana group moja. Hivyo watoto watakuwa na group hilo au O. Yaani kama wazazi wote wana A halafu mtoto akizaliwa na B au AB basi jua mama alichepuka. Au wote wana O mtoto akizaliwa na A au B au AB basi huyo ni wa nje.
 
Soma hizo chart mbili hapo chini

Paternity_Blood_type_Chart.jpg
 
Hakuna ugonjwa m-baya unao athiri akili, mahusiano, kazi na maisha kwa ujumla kama Hofu na Mashaka
 
Back
Top Bottom