Kipimajoto ITV hapa mnafeli

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,899
9,734
Mjadala ni kuhusu kukomesha udanganyifu na wizi wa mitihani.

Sasa wageni wote studio akiwemo mtangazaji mwenyewe wanaulizana kama matokeo ya nyuma yanatumika NECTA kumpima mtahiniwa. Wote hawana majibu ya uhakika.

Sasa nyie ITV mlifeli vipi kuwaalika NECTA kwenye kipindi kama hicho kinachozungumzia suala linalowahusu moja kwa moja? Mnafeli kwenye kutafuta sources.

Na ni mara nyingi kipindi hiki kinakosa sources sahihi wa mada tajwa. Inatakiwa mada inayojadiliwa majibu rahisi kama hayo wawepo wahusika.

Mfano uzungumzie masuala ya udhibiti wa mawasiliano halafu TCRA wasiwepo kwenye kipindi, ndicho mnachofanya. Yaani hata dadaz producer wake anawashinda kutafuta sources?

Uhafifu wenu kwenye kutafuta sources pia unaonekana kwenye malumbano ya hoja kila siku walewale, Inaboa. Mkiweza tafuteni independent producers wawasaidie kupata sources kama hao maprodyuza wanafeli.
 
Ninaona wanaruhusu kupiga simu ninaomba upige simu ili uulizie swala lako hilo sehem husika. Wewe huna tofauti na ITV na kipima joto chao. Wao wamefeli kutafuta sorce na wewe umefeli kupeleka mada sehem husika ambapo ni ITV. Usiku mwema mleta mada.
 
Nimeliweka hapa ili menejimenti walione wazo langu...sasa umbugila huwa una kawaida ya kumuongoza mtu kukosoa hata lisilokosoleka...meseji ya weaknesses za kipindi huwezi kuziforward via studio call-ins. Mbugiz

Sawa mkuu kumbe hujalala
 
Very true,mi nmeacha kuwafuatili kitambo sn. Mijadala yao km ya sekondari vile!!
 
Yawezekana wajumbe kwenye Malumbano ya Hoja wanapewa Ruzuqu maana kila kipindi ni walewale...
 
Back
Top Bottom