Kipima joto

atrash

Member
Joined
May 1, 2011
Posts
75
Reaction score
14
hivi lile tangazo la taulo za kinamama linalorushwa na TBC1 kabla ya taarifa ya habari ya saambili usiku je ? linafundisha maadili mema ktk jamii kulingana na mila na desturi zetu za kitanzania? mana unaweza ukawa umekaa na mama yako unasubiri Taarifa ya habari mara tangazo limeanza kuonyesha mapedi sijui wenzangu mnamaoni gani na hili
 

Mwenyewe linanikera mbaya pia kuna lingine la kondom ni kero tupu
 
Kwa hiyo kila likiwekwa hewani ndo unajifanya story imekoleo ili kuondoa concerntration..mamambo ya utandawazi hayo.!
 
si unahamia itv tuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…