Kipima Joto :unaonaje kasi ya Mh. JP

aaamuk

JF-Expert Member
Jan 26, 2015
707
209
Kwa kipindi kifupi tumesikia mengi... Je, kwa mtazamo wako unaonaje kasi hii?
 
Huyo ndo Rais watanzania walikuwa wanamtaka. good job, and God be with him
 
Matokeo ya kipima Joto asilimia 1% wamepongeza asilimia 98% hawaamini kinachotokea 1% wameisomaa #
 
Andika neno SHITUKIZA kwenda namba 15007 kujua anaenda wapi kesho hiinini kwa wafanyakazi wa sirikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…