mara hii umesahau ya kuwa 'ukitaka kushiriki kipima joto andika JOTO wacha nafasi na kisha N, H, au S na utume kwenda namba blah blah blah'? so kinahusisha watu wote. think big!
waache wajifariji jamani! iweje uhoji idadi ya wapiga kura kwenye takwimu wakati 2010 synovet walipohoji watu 2000 na kuja na majibu mliyapokea kwa shangwe? ni majibu yale yale ya synovet yalotokea kwenye uchaguzi. vipi kuhusu leo synovet wakaja kinyume, mtakubali? sasa weka mapenzi pembeni na uwe halisia!