Hahahaha
Wachekeshaji wa mfalme kazini
Mchekeshaji ni wewe usiejitambua hizo ni takwimu za kipima joto kama wananchi walivyopiga kura pale ITV kwa hiyo wewe unapingana na uhalisia kwa kuwa tu umejivisha ujinga wa mapenzi kwa maCCM.
Kipimajoto kama ada kimetoa majibu tata kwa upande wa Rasimu ya Sitta.
Swali
Je katiba pendekezwa imekidhi mahitaji ya kukivusha kizazi hiki na kijacho salama?
Matokeo ni
79%------ HAPANA
18%------ NDIYO
03%------ SIJUI
Wataalamu huku kwa wananchi ni kimbembe zaidi.
Ikumbukwe kuwa ili iwe Katiba Rasmi inatakiwa
50% ya wananchi wa Tanganyika watakaopiga kura waseme ndiyo.
Na
50% ya wananchi wa Zanzibar watakaopiga kura wapigie ndiyo.
Kazi ipo
Muda wa midahalo ndio huu.
Mchekeshaji ni wewe usiejitambua hizo ni takwimu za kipima joto kama wananchi walivyopiga kura pale ITV kwa hiyo wewe unapingana na uhalisia kwa kuwa tu umejivisha ujinga wa mapenzi kwa maCCM.
kweli UKAWA mnajifariji, hivi hizo takwimu ni za watu wangapi walio piga kura? ngoja hiyo katiba ije kwa wananchi wanaone itapita kwa asilimia ngapi?
Hakuna linaloshindikana ndani ya ccm wanajitekenya wenyewe na wanacheka wenyewe nini 50% wakitaka hadi 99% tanganyika na znz inapatikana,dawa yao 2015 tusifanye makosa tuongeze wabunge wa upinzani wakifika 300 tu ndani ya bunge ni silaha tosha,mambo mengi mazuri yatapita!!
kweli UKAWA mnajifariji, hivi hizo takwimu ni za watu wangapi walio piga kura? ngoja hiyo katiba ije kwa wananchi wanaone itapita kwa asilimia ngapi?
Mkuu nawe siku hizi uko mitaa hii ya Lumumba nini kilikupata