manning
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 5,092
- 11,947
Leo nimecheka sana matokeo ya kipima joto kilichokuwa kinauliza " miaka 51 ya mapinduzi ya Zanzibar je malengo yake yametekelezwa? mimi nilishiriki kipima joto hicho na niliandika HAPANA. Lakini matokeo ya leo yanetia shaka kwa kuonyesha hakuna mtu hata mmoja alisema Hapana na 75% wamesema hawajui na 25% kusema ndiyo, wakati waliochangia kwa mitandao wote wamesema HAPANA. Je leo ITV haijatumika kweli kwa minajili ya kisiasa?