Rhz4567
JF-Expert Member
- Mar 16, 2018
- 4,669
- 6,151
Sijawahi kupigwa wala kupigaHabari wadau poleni kwa shughuli ya kujenga viwonder.....
Ivi ni kipigo gan ulichowahi kupigwa heavy na ukaona kabisa hiki kipigo siku stahili nimeonewa
............ ..... . .. ......................
Mimi nakumbukuka ilikua mwaka 2014 nikiwa monitor wa form two a sasa ilikua mishale ya sa nne darasa likawa linapiga kelele na amna ticha clas akapita second master akaulizia mbona clas amna ticha bhana bhana montres akasema monitor kagoma kwenda kumuita walahi mshkaji alinipiga fimbo kama mia na hamsin na nilimlaan sana jamaa ila mwisho wa siku akaja akafukuzwa....
Karibu na ww utupe kisa chako
Sent using boeing 737 max8
Napenda kuishi maisha ya Amani na Upendo
Kumbe jf kuna watoto