James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,530
- 16,265
Mbali na ushabiki Hezbollah na Hamas hawaui watu wengi kama Israel. Sasa hai Hezbollah hawaoni kama watapoteza watu wengi sana ktk vita ambayo Israel anaingia na washirika walio wabaje ktk vita na bajeti zao za jeshi ni kubwa?🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Baada ya Israel kupata kipigo cha Paka mwizi na Waziri wa Ulinzi amekoswa kulambishwa mchanga na drone za Hezbollah sasa Netanyahu katoa mlio wa uwoga😂 kua anataka kuanzisha vita na Hezibollah
⚠️BREAKING NEWS⚠️
Israeli PM natanyahu:
This is right time to punish Hezbollah. We will not bear more damage . We will soon start military operations against Hezbollah
Lgbtq😀Unalambwa ww
Ussr wakati wanapambana na hitler inasemekana walikufa kama watu 20MMbali na ushabiki Hezbollah na Hamas hawaui watu wengi kama Israel. Sasa hai Hezbollah hawaoni kama watapoteza watu wengi sana ktk vita ambayo Israel anaingia na washirika walio wabaje ktk vita na bajeti zao za jeshi ni kubwa?
Naomba kufahamishwa sababu ya Lebanon kuingia vita Sasa hivi na Israel?
Google wako tayari kuweka taarifa za Papa amebariki ushoga lakini kila habari ya israeli kula kichapo wanaifinyia haraka sana, kuna kikosi kazi na bots zimewekwa kufuta hizo taarifaIsrahell ya kwenye media inatisha kuliko hii ya paka
Bado nataka sababu kubwa ya Lebanon kuingia vitani na Israel kwa SasaUssr wakati wanapambana na hitler inasemekana walikufa kama watu 20M
Kufa sio kuzuri ila kuna muda haki haiji bila vifo kutokea
Amechanganyikiwa hajui ashiki lilpi afanye lipiNetanyahu kumbe yupo, mbona siku hizi simsikii sana sana?
Last time alikuwa hewani analilialia kama mtoto apewe silaha na bwana wake , maana bideni maji ya shingo anaogopa kuwekewa arrest warrant akistaafu.Netanyahu kumbe yupo, mbona siku hizi simsikii sana sana?
Kwa hiyo zile kelele kuwa wanakufa watoto kumbe ilikuwa ni uzushi tu wa media?Israhell ya kwenye media inatisha kuliko hii ya paka
Vita na hizbullah ni mtego mkubwa kwa israel,nchi za kiarabu zitapeleka wanamgambo wengi,upande wa hizbullah ili kulipa kisasi cha israel ilichofanya gaza.Israel kwa sasa ina wakati mgumu kwa Hizbullah.
Mashambulizi aliyofanya leo Hizbullah ni makubwa. Laiti wangelikuwa tia maji Israel kwa hulka yake kitambo angetangaza vita rasmi.
1.Kitendo cha israel kuua wapalestina kiasi kile kimewauma sana waarabu,hii ni mlango wa nyuma kulipa kisasi.Bado nataka sababu kubwa ya Lebanon kuingia vitani na Israel kwa Sasa
"Hawa vijana ni wadogo kiumri huenda?" Huchukulia vita kama video games.Ni kweli ila nakumbuka,alikuwa rais wa kwanza wa marekani kuweka ubalozi wa marekani Yerusalem kitu kilichozua mtafaruku,subiri aingie ndo utaelewa.
Trump hana kauli kwa mazayuni.Sasa itakuwaje, labda Trump aingie madarakani.
Kumbe ni uongo eeh?Siku sio nyingi utasikia kilio ety Israel wanauwa wanawake na watoto 😂
Hii nimeipenda,israeli anapata kipondo,wapalestina wanalia kilio cha mbwa koko.Trump hana kauli kwa mazayuni.
Mazayuni dawa yao ni kichapo tu popote walipo.
Mazayuni wa Saudi Arabia Emirati, Kuwait, Jordan na Egypt wakitandikwa viongozi wao au uchumi wao, Palestine itajikomboa haraka sana.
[B]DW ni chombo cha ki propaganda wanapangiwa habari za kutoaWe jamaa una taarifa za ndani kuliko DW