Kipicha zaidi

Ukiona Serikali inaomba uwape data za kipengere namba sita.ujue umaskini ndo unabisha hodi.
 
yote hayo kisa kamwambia pengo akavae pempac
 
Alaa...kumbe mrejesho ndio uko hiviii...kwani kanisa ni kama Org vile mpk kuwe na muundo wa utawal...nauliza tu jamani mie mbumbu kwa hizi sheria za nchi yetu mnijuze!!!
 
Alaa...kumbe mrejesho ndio uko hiviii...kwani kanisa ni kama Org vile mpk kuwe na muundo wa utawal...nauliza tu jamani mie mbumbu kwa hizi sheria za nchi yetu mnijuze!!!

Chochote kikishakuwa taasisi kinatakiwa kiwe na mfumo wa utawala
 
hiyo namba 10 hapana asimpeleke aitwe wenyewe na polisi kwani atakuwa kafikisha miaka 18
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…