Hakim Seif
Member
- Mar 28, 2015
- 20
- 9
Habarini wana-jf'ers. ninategemea kufungua frame yangu ya biashara ya mobile phone repairs... na nina mtaji wa kununua vifaa muhimu kama blower...desktop computer na vifaa vyake vyote...multimeter...na flashing box ambayo mpaka sasa sijajua ninaihitaji ipi kati ya volcano box na miracle box:noidea:. Nimefanya research ya kina na nimefahamu kuwa box zote mbili zina uwezo wa kufanya repairs kwa simu aina nyingi original kama za samsung na nyingine ikiwemo china phones mf. tecno:eyebrows:...changamoto ni kuwa sifahamu pia hizi simu nyingine za kawaida ambazo siyo smartphones zinatumia aina gani za flashing box au zaweza kuwa flashed kwa software peke yake?
Lakini nashindwa kuamua ninunue ipi kati ya volcano na miracle. naombeni ushauri wenu.:rockon:
and oh...nilisahau...kama kuna vifaa vingine ninavyoweza ongezea hapo kwenye hiyo shopping list naomba pia mniambie...though najua kwamba it's too risky starting big kama hivyo lakini nina uhakika na eneo ninaloenda kufungua frame yangu.
Kuhusiana na unlock boxes..
Nunua
1.volcano
2.HWK
3. Z3x
Volcano ni kwa simu zote zinazotoka china ikiwemo tecno na makampuni yasiyo na majina ZTE
HWK ni kwa ajili na nokia na nyingine nyingi kama Siemens, alcatel, Motorola
Z3x ni kwa ajili ya Samsung, LG, huawei, nakadhalika..
Kuhusiana na unlock boxes..
Nunua
1.volcano
2.HWK
3. Z3x
Volcano ni kwa simu zote zinazotoka china ikiwemo tecno na makampuni yasiyo na majina ZTE
HWK ni kwa ajili na nokia na nyingine nyingi kama Siemens, alcatel, Motorola
Z3x ni kwa ajili ya Samsung, LG, huawei, nakadhalika..
Hi.. Sorry for late reply. Dar kila moja ni kuanzia laki 5 kwenda juuZinapatikana ktk maduka gani kwa dsm,na pia gharama zake zipoje.?!
Blackberry waweza tumia software kufanya flashing na matengenezo mengine kama ku-upgrade. Na nina rafiki yangu fundi anasema amefanikiwa kubackup na kuflash kwa volcanoBlackbeery inaflashiwa na box gani?