Binafsi sijawai kutumia au kumiliki iPhone, ila napenda COMPAS DIRECTION na ile huduma ya GUIDE ACCESS yan kma mtu ameomba cm apige sim bas hatoki apo hadi pini,

Vitu ambavyo wengi wanaangalia kwenye simu ni hivi:
1. Ubora wa Camera
2. Speed ya internet
3. Usalama wa simu
4. Brand name (Aina simu mfano Samsung, Iphone, Tecno, Huawei na etc)
Wengine wanataka simu za kuonesha status zao basi.