Sawasawa ofcourse i can't risk ...ila nnajiuliza ukweli wa mambo...Kabla kitovu hakijaanguka hakikisha mtoto amevaa nappy muda wote, ikitokea kimeanguka kiangukie juu ya nappy.
Zamani watu waliamini jua linazunguka na dunia imesimama, na wakarithishana vizazi na vizazi,...mtu alipoichallenji hyo aidia alifungwa....Sawasawa ofcourse i can't risk ...ila nnajiuliza ukweli wa mambo...
Je nchi nyingine pia wanafanya haya?
Je kuna ushahidi? Kwa nini?
Na ukiuliza proof, or evidence or mechanism, hamna majibu!!!!!!Imani za kibongo bana....
Mvua na jua basi simba anazaa....Ukikanyaga kivunja chungu basi nyumbani chungu kinavunjika...Kope zikicheza cheza kuna jambo litatokea...ukijing'ata ulimi ujue kuna mtu anakuongelea..Ukilala na mwanamke anaenyonyesha 'utambemenda, mtoto