mwanazuoni mgeni
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 1,943
- 1,734
Safi...saana unaonekana unajua majukumu yako kwa mpenzi wakoKwangu mwanaume nikimfanyia haya basi naridhika kuwa nampenda'
-chochote ninacho kifanya namfanyia/kumuwaza yeye kwanza
-kumpikia chakula kitamu
- nifue nguo zake
- usafi kila sehemu
- napenda kila nikipakua awepo tule wote maana siwezi kula kabla hajafika.
- mawasiliano ni muhimu sana
- naweza kufanya lolote kwa ajiri yake
- care za kila aina.
- heshima.
- ni rafiki yangu tunacheza na kufurahi.
- nijue anapenda nini au hapendi nn.
Kwangu mie nikifanyaga haya yote najua mtu fulani nampenda.
acheni kuwaza waza mapenzi tuu! kila siku! muwe mnawaza na kuongeza kipato! yebooooh!Katika huu ulimwengu wa leo ... Linapokuja swala la mapenzi hakuna ..mbabe wake, karibu kila mmoja katika historia yake ya kimapenzi ashapitia changamoto nyingi saana mpaka wengine wamefikia hatua ya kujiua ...baada Ya Wapenzi wao kuwageuka na kuwasaliti
Binafsi mimi kwenye maisha nishakutana na changamoto nyingi na nimezikabili lakini linapokuja swala la mapenzi ...simuamini mtu yoyote...mpaka leo najiuliza kipimo cha mapenzi ya kweli ni nini??
Nawasilisha
Mzani wa mapenzi n moyoHamna mzani wa mapenzi
Kutoa pesa. Kwawanawake ni kipimo
Hicho tu ndio kipimo cha mapenzi ya kweli kwako daahhh.mi naona kumkojolesha mara nyingi ndio kipimo,,gegedo la maana mama
Kwangu mwanaume nikimfanyia haya basi naridhika kuwa nampenda'
-chochote ninacho kifanya namfanyia/kumuwaza yeye kwanza
-kumpikia chakula kitamu
- nifue nguo zake
- usafi kila sehemu
- napenda kila nikipakua awepo tule wote maana siwezi kula kabla hajafika.
- mawasiliano ni muhimu sana
- naweza kufanya lolote kwa ajiri yake
- care za kila aina.
- heshima.
- ni rafiki yangu tunacheza na kufurahi.
- nijue anapenda nini au hapendi nn.
Kwangu mie nikifanyaga haya yote najua mtu fulani nampenda.
Hongera mwaya enjoyahaaaa polee umechelewa, wala vumbi wenzangu wa bongo walichezea bahati nawafanyia haya yote wanaona kawaida mungu kamleta anaestail hizi care. Wacha nitulie nae.