KB THE DON
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 250
- 117
Imezoeleka sana tangu enzi na enzi vinywani mwa wanasiasa kua ETI SIASA NI MCHEZO MCHAFU
kauli hii huwa ikiniumiza saaaaana hasa nikifikiria kua natakiwa kua na chama ambapo ntakua na amani kutoka moyoni nimejaribu kuhudhuria vikao vingi sana vya vyama vya siasa
YANAYOJADILIWA NI
1. KUPONDA UPANDE UNAOKINZANA NAO (KUPIGA MAJUNGU CHAMA KINGINE) mwisho wa siku / kikao mnajikuta mmejadili majungu tuu pasipo kuajdili mipango mizuri ya kuiendeleza nchi kimaendeleo zaidi ikiwa ni pamoja na kuangalia changamoto zinzo ikabili nchi
2.NAMNA YA KUENDELEA KUTEKA AKILI ZA WATU WAKIPENDE CHAMA FLANI HATA KAMA HAKIFAI
NAULIZA WANAJAMVI HAPA TANZANIA KIPI NI CHAMA KIZURI CHA SIASA KAMA VYOTE SI WALE WALE WA MCHEZO MCHAFU