Habari wakuu,
kuna wengine hawata nielewa .kwa mlionielewa ebu tililiken apo chini mana sitembei kwa raha maden yamezidi uko sina mengi najua kuna majenerali wenzangu wa mitandaoni mnanielewa kuhusu ujanja ujanja najiulizaga haya je?
Nitatiwa nguvuni au laa
Au tcra watanishughulikia
Na je vipi kuusu mitandao yetu tz wanaconection na fb pamoja na google ads
mana sitembei kwa raha wakubwa.