Nilipokua natoka chuo nilijiambia sioi mpaka niajiliwe. Nilipoona masuala ya ajira hayaeleweki nilioa, nilikua miaka mitano bila ajira, ningesubiri ajira ningeoa uzeeni na watoto wangeniita Babu. Angalia umri wako, Hali ya uchumi Kama upo vema oa hatutaki kusumbua wazazi wakuchangie unga. Kama haupo vizuri subiri ajira mama anaupiga mwingi atakukumbuka sio muda