Meno aisee hiyo ni ya kwanza coz mi ni mgomvi ila hamna kitu nalinda kama my teeth ukigusa hizo nakuua! Hela tunapata,women come and go ila reception yangu usicheze nayo.....
No. 1... Aisee phone yangu inanisaidia sana. Mtandao ukiwa ba shida huwa nahisi kuchizika. Charge ikibaki bar 2 naiongezea.... Sikumbuki mara ya mwisho ni lini kuona hii alert "battery low"