Shaloom,mtoto alimwuuliza baba yake,baba unaweza kumwachia hilo gari lako house boy/girl akaliendesha?babaye akamjibu siwezi kumwachia gari langu hili aliendeshe ni ghali sana,mtoto akamwuuliza tena babaye je mnaweza kumwachia chumba chenu house boy/girl kikiwa wazi na mkaenda kazini?babaye akamjibu haiwezekani kamwe kuna vitu vya gharama na pia heshima haitakuwepo,mtoto akamwuliza tena unaweza ukampa house boy/girl ATM CARD yako na namba ya siri ukakuchulie pesa?baba akasema mtoto unatafuta balaa sasa,unataka cku akiiba hii card akachukue pesa zote tuwe maskini,c thubutu,mtoto akasema aahaaaaaa,kumbe hauwezi kumkabidhi chchote chenye thamani house boy / girl,sasa kwa nn mnanikabidhi mm kwa house boy/girl na nyie mnaenda kazn mpaka mnarudi kumbe mm cna thamani kwenu eeeeh!baba akashikwa na mshangaoo!je wewe unafanya hivyo?tafakari. W.salaam