Kipi kinasababisha barabara za New York kuwa na hali mbaya?

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,163
27,180
Hili jiji kongwe lenye sifa ya kutolala hali ya barabara mitaa mingi ni majanga. Uiiachana na downtown Manhattan, huko kulikobakiwa unabaki unajiuliza hii ndo superpower tunayohubiriwa?

Mitaa mingi ya Queens, Brooklyn na Bronx hali hailidhishi kabisa.

Tofauti na ukitembelea miji kama Berlin, Moscow na hata Vienna miundo mbinu ni ya kisasa na inayovutia!

Je Newyork kuna shida gani?

images%20(32).jpg
 
Hili jiji kongwe lenye sifa ya kutolala hali ya barabara mitaa mingi ni majanga. Uiiachana na downtown Manhattan, huko kulikobakiwa unabaki unajiuliza hii ndo superpower tunayohubiriwa?

Mitaa mingi ya Queens, Brooklyn na Bronx hali hailidhishi kabisa.
Tofauti na ukitembelea miji kama Berlin, Moscow na hata Vienna miundo mbinu ni ya kisasa na inayovutia!

Je Newyork kuna shida gani? View attachment 2964663
Kijana usuper pawer ni barabara tu? Hivi kuna nchi tajiri afrika kuzidi kongo kinshansha ukiacha na vita maeneo ya mashariki?
 
Inatakiwa nijichange mishahara mingapi cute?🤣🤣🤣🥴
Kuhusu mishahara mingapi inategemea uko wizara gani cute wangu....😄🤓🤭ila Visa ya moja kwa moja mpaka kufika USA baby ni mtanange.
Tupitie vichochoroni kwanza, mdogo mdogo tutafika tu.
Tusisahau kumbeba na Intelligent businessman kama baunsa wetu
 
kuna ardhi hazishiki lami, hata hapa Tz zipo. Yaani weka lami utavyoweka ila ardhi ikijisogeza kidogo inakuwa kama imetokota hivi inaacha mibonyeo au inakuwa kama rough road ya lami. Ukipita na gari unaihisi kabisa ipo tofauti.
Basi inawezekana ndo sababu, maana kuna mitaa unapita ni lami ila gari inadunda, mvua ikinyesha maji yanatuhama!
 
Hili jiji kongwe lenye sifa ya kutolala hali ya barabara mitaa mingi ni majanga. Uiiachana na downtown Manhattan, huko kulikobakiwa unabaki unajiuliza hii ndo superpower tunayohubiriwa?

Mitaa mingi ya Queens, Brooklyn na Bronx hali hailidhishi kabisa.
Tofauti na ukitembelea miji kama Berlin, Moscow na hata Vienna miundo mbinu ni ya kisasa na inayovutia!

Je Newyork kuna shida gani? View attachment 2964663
Nikajua hii Hali ipo bongo nyoso tu kumbe mpk uko
 
Kuhusu mishahara mingapi inategemea uko wizara gani cute wangu....😄🤓🤭ila Visa ya moja kwa moja mpaka kufika USA baby ni mtanange.
Tupitie vichochoroni kwanza, mdogo mdogo tutafika tu.
Tusisahau kumbeba na Intelligent businessman kama baunsa wetu
Mi ni mwalimu na mshahara wangu wa kubembeleza...safari isijenitia umaskini wa karne....naomba uongozane na huyo baunsa wako cute🥴
 
Back
Top Bottom