Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 13,330
- 27,706
Hili jiji kongwe lenye sifa ya kutolala hali ya barabara mitaa mingi ni majanga. Uiiachana na downtown Manhattan, huko kulikobakiwa unabaki unajiuliza hii ndo superpower tunayohubiriwa?
Mitaa mingi ya Queens, Brooklyn na Bronx hali hailidhishi kabisa.
Tofauti na ukitembelea miji kama Berlin, Moscow na hata Vienna miundo mbinu ni ya kisasa na inayovutia!
Je Newyork kuna shida gani?
Mitaa mingi ya Queens, Brooklyn na Bronx hali hailidhishi kabisa.
Tofauti na ukitembelea miji kama Berlin, Moscow na hata Vienna miundo mbinu ni ya kisasa na inayovutia!
Je Newyork kuna shida gani?