Hivi ni sawa kupanda gari kabla hujalipa Nauli?Nilibahatika kuchat pm na manzi fulani humu (sitamtaja Id) ila kiukweli tulikubaliana vizuri na namba tukapeana za whatsapp
Baada ya kuchat kama wiki mbili hivi tukawa wapenzi yeye akiwa mkoa mwengne, hivyo tukawa tunapanga ratiba ya yeye kuja nilipo akiwa off kazini kwake
Before hatujakutana kuna kitu kimepelekea penzi letu ( la nadharia) kufa hasa baada ya mwenzangu kuanza kuniomba hela wakati ambao hata kukutana nae tu bado achilia mbali mzigo(Main target).
Baada ya kuniomba hela nilikataa na kumpotezea mwana jf huyu lakini ajabu analalamika eti sikuwa serious na hapendi wanaume wadanganyifu kama mimi.
Hivi dada zetu ni sawa kweli kukuhudumia kabla hujatoa huduma au wanaume wenzangu ni sawa kutoa huduma kabla hujahudumiwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilibahatika kuchat pm na manzi fulani humu (sitamtaja Id) ila kiukweli tulikubaliana vizuri na namba tukapeana za whatsapp
Baada ya kuchat kama wiki mbili hivi tukawa wapenzi yeye akiwa mkoa mwengne, hivyo tukawa tunapanga ratiba ya yeye kuja nilipo akiwa off kazini kwake
Before hatujakutana kuna kitu kimepelekea penzi letu ( la nadharia) kufa hasa baada ya mwenzangu kuanza kuniomba hela wakati ambao hata kukutana nae tu bado achilia mbali mzigo(Main target).
Baada ya kuniomba hela nilikataa na kumpotezea mwana jf huyu lakini ajabu analalamika eti sikuwa serious na hapendi wanaume wadanganyifu kama mimi.
Hivi dada zetu ni sawa kweli kukuhudumia kabla hujatoa huduma au wanaume wenzangu ni sawa kutoa huduma kabla hujahudumiwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Daladala mkuu unalipa ukishapanda ila mabus ya mkoa unalipia kwanzaHivi ni sawa kupanda gari kabla hujalipa Nauli?
CC Zero IQ
Et kutokuwa na pesa ya kumpa ndio kipimo cha kutompenda au kutokuwa na malengo naeMwanamke anaekutaka kwa sababu ya pesa si mwanamke tena ni entrepreneur.
Sent using Jamii Forums mobile app
Et kutokuwa na pesa ya kumpa ndio kipimo cha kutompenda au kutokuwa na malengo nae
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikua unanunua bidhaa kwani? , vijana mnalialia sana kwa vitu visivyo na hoja wala msingi, unachukua namba ya demu halafu ukiombwa hela unalialia unakuja anzisha na UZI kabisa, halafu mambo ya PM yabaki kuwa ya PM mmalizane huko hukoNilibahatika kuchat pm na manzi fulani humu (sitamtaja Id) ila kiukweli tulikubaliana vizuri na namba tukapeana za whatsapp
Baada ya kuchat kama wiki mbili hivi tukawa wapenzi yeye akiwa mkoa mwengne, hivyo tukawa tunapanga ratiba ya yeye kuja nilipo akiwa off kazini kwake
Before hatujakutana kuna kitu kimepelekea penzi letu ( la nadharia) kufa hasa baada ya mwenzangu kuanza kuniomba hela wakati ambao hata kukutana nae tu bado achilia mbali mzigo(Main target).
Baada ya kuniomba hela nilikataa na kumpotezea mwana jf huyu lakini ajabu analalamika eti sikuwa serious na hapendi wanaume wadanganyifu kama mimi.
Hivi dada zetu ni sawa kweli kukuhudumia kabla hujatoa huduma au wanaume wenzangu ni sawa kutoa huduma kabla hujahudumiwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani wapi kuna connection kuchua namba na kuombwa hela? Au namba zinauzwa?Ulikua unanunua bidhaa kwani? , vijana mnalialia sana kwa vitu visivyo na hoja wala msingi, unachukua namba ya demu halafu ukiombwa hela unalialia unakuja anzisha na UZI kabisa, halafu mambo ya PM yabaki kuwa ya PM mmalizane huko huko
Respect is reciprocative
Daladala mkuu unalipa ukishapanda ila mabus ya mkoa unalipia kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni sawa kupanda gari kabla hujalipa Nauli?
CC Zero IQ
Kama kodi ya nyumba. Unalipa kwanza, ndiyo unakaa katika nyumba.Nilibahatika kuchat pm na manzi fulani humu (sitamtaja Id) ila kiukweli tulikubaliana vizuri na namba tukapeana za whatsapp