Kipi hapa umekisoma?

Dah! Mkuu huna cha hekaya za abunuas
 
Hapo nimekisoma cha Kikosi cha Kisasi, Ni noma sana ila natamani nivisome na hivyo vingine
 
MUSIBA ni hatari sana
 
Kumbe musiba anatunga vitabu sasa mbona anajiwehusha, eti melo anataka kumuua
 
MUSIBA ni hatari sana
Bonge moja la mtunzi,kama hicho
KIKOSI CHA KISASI,anazungumzia mitaa ya miji yote lusaka,Kinshasa hatua kwa hatua. Bahati mbaya ni marehemu. Hicho HOFU na HUJUMA,serikali ilimpiga stop kuvitoa enzi hizo. Nakitafuta sana KUFA NA KUPONA,bonge moja la novo. Nilishawahi kukisoma zamani sana. Nahitaji sana nikipate
 
Kumbe musiba anatunga vitabu sasa mbona anajiwehusha, eti melo anataka kumuua
Sio musiba huyu chizi. Yupo msiba mwenyewe bonge moja la mtu. Akili kubwa,sio huyu chizi. Alikuwa anaitwa ELVIS A MSIBA. Bahati mbaya ni marehemu now. Kilikuwa kichwa hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…