1: mpenzi wako hasa mwanaume unaedeti nae awe anacheat kwa kutoka na demu mwingine ambae sio malaya wakujiuza au
2: awe ni muumini wa zile malaya kabisa wale wanaosimama rodini au kwenye mabaa ambao kimsingi mkimaliza tendo hamjuani tena
Ni kipi bora?