Hamja korofishana kwa lolote? Na je una uhakika anaendelea na shughuli zake(ni mzima)? isije ikawa yu mahututi mahali.
sikulaumu ndio akili yako ya kufkiria imeishia hapo!
hatujakorofishana wallahi sema yey kuanzia jana mida ya sa 4 asubuhi hakupatikana hewani na hajaniarif chochote! nilimtafuta kila saa siku nzima majib ilikua ni the # ur dialling is not richabo! uck nikalala zang mapemaa bwana akanipgia cm saa 5 uck mi namiusingiz yang cjaskia badae nliposhtuka nkakuta micd kol ake ndo kumpigia akakacrika dah kaz ipo!!
Hayatuhusu haya....
mkuu umeamka na hang over nn! Kama hayakuhusu si upite kimya?! Uwezo wa kufikir tumetofautiana unachokielewa ww mwenzio haelewi. Sio kauli nzur hyo hebu futa kauli
Wewe ya kwako imeishia wapi?
Acha kulia lia hapa, tumechoka kushauri watu msiojielewa...
Huyo unayehusiana naye wewe ndio unayemuelewa halafu unakuja kulia lia huku jamvini...
Eboh!! sisi ndio tuliowatongozesha? mbona wakati mawasiliano yenu yalipokuwa imara hukuja hapa kumsifia?
Tumia akili kufikiria, au unadhani sisi unaotuomba kukushauri tunatumia macho kufikiri???
Wala sijaamka na hangover mkuu nipo vizuri kabisa..
Unataka nifute kauli ipi?
hatujakorofishana wallahi sema yey kuanzia jana mida ya sa 4 asubuhi hakupatikana hewani na hajaniarif chochote! nilimtafuta kila saa siku nzima majib ilikua ni the # ur dialling is not richabo! uck nikalala zang mapemaa bwana akanipgia cm saa 5 uck mi namiusingiz yang cjaskia badae nliposhtuka nkakuta micd kol ake ndo kumpigia akakacrika dah kaz ipo!!
umeshinda! ila kama hujiskii kukoment better zip ur mouth usiropoke ropoke! poor watu8
"hayatuhusu" huwez jua mwenzio linamtatiza vp hilo suala
Mkuu huo ndio ukweli, suala la mahusiano yake linamuhusu yeye na mpenzi wake...
Huyu dada anachotafuta ni bega la kuegemea na hiyo si kazi yetu...
Mpenzi wake bado yupo na hawajaachana, kwa nini asimpe muda wayamalize...