Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
I think He better let the kid go,I know he wants to be a good father but the child need that exposure atakua kiakili na kutopenda kuwa tegemezi jamii zetu nyingi za Afrika watoto wanakua na akili tegemezi kweli knowing dad is there,grandmom or grandpops na ndugu wengine lakini kuwa nje ya nchi kunabadilisha sana najifananishia mimi mwenyewe before na after. Ni mtazamo wangu.
Kama jamaa anauwezo wa kumlea mwanae,basi ni vyema akae nae kuliko kumpa ndugu yake.
Kiuhalisia,malezi ya baba ni bora kuliko kitu kingine ktk dunia ya leo.
Atazame mbele zaidi kuwa atakuja kuwa nani katika familia yake.
Ampeleke tu ila ahakikishe huyo mwanamke karidhia kukaa na mtoto hajalazimishwa
Ningelikuwa mimi, mwanangu namlea mimi mwenyewe haijalishi maisha yangu yakoje. Mtoto anahitaji malezi ya mzazi mwenyewe angalau kwa miaka kumi ya mwanzo. Pamoja na kwamba huyo ni kaka yake, anauhakika gani na malezi atakayopewa mtoto.....!? Dunia ya leo imeota meno, anaweza kuwa ndugu yako wa damu lakini bado akamnyanyasa mwanao.
angekuwa amemaliza elimu ya msingi ningesema ampeleke kwa kaka yake sababu mtoto atakuwa anajitambua na kuelewa kibaya na kizuri kwa umri huo kwanza amekosana malezi ya mama basi apate upendo kutoka kwa baba kwanza
Mmmh!!! Jinsi watoto wa kike wanavyofanyiwa ukatili na watu wanaowasaidia, sionagi haja ya kumkabidhi mtu mtoto, kwanin asiendelee tu kumuwezesha akiwa huku??
Mi tumbo la uzazi linaninyonga kwa habari za hvi.
watu tunadhani marekani ndo kila kitu. Ataporudi hapa ana abuse drugs ndo mtaelewa, america is the worst place to rase a black child
Kama mzazi.....
Ningekaa na mwanangu.
Malezi ya mzazi ni ya mzazi tu....
Miaka 4 ni mdogo mno.
Huyo mwanamke aliyepo Amerika ameridhia kukaa na huyo mtoto??
I could let her go... huyo mtoto akikua akajua baba alikataa asiende nje atanuna mpaka anakufa lol!!!
jua la bongo nani anapenda bora akapate exposure huko...
Marekani ni nchi boss. America kuna mabara mawili, inaweza kuwa nchi yoyote. Na kuna watu wanatumia dawa za kulevya na hawajawahi hata kufika Kigamboni. Ila asante pia.
Wait a minute! Unamaanisha nini uliposema 'Kigamboni'!????? #bifu