sogea usangu ukapige mpunga kwenye mashamba ya shirika. baada ya 3yrs utakuwa vizuri.Mbeya,tukuyu.
Niliposema hakuna soko zuri naona kama umeshangaa kigogo..lakini kama ni kuuza tu mradi umeuza nawezasema soko lipo..lakini kibiashara,siyo..
Kwani lazima uuzie hapohapo? Mbona Japan wanatengeneza magari yanakuja kuuzwa Africa? Jiongeze mkuu.Mbeya,tukuyu.
Niliposema hakuna soko zuri naona kama umeshangaa kigogo..lakini kama ni kuuza tu mradi umeuza nawezasema soko lipo..lakini kibiashara,siyo..
Mkuu avatar yako imenifanya nitoe machozi kwa kicheko, daaah! Jf bana raha sana.sogea usangu ukapige mpunga kwenye mashamba ya shirika. baada ya 3yrs utakuwa vizuri.
Mkuu ni miaka 10 sasa vipi bado umekaa tu hapohapo hadi leo au uliyafanyia kazi? Feedback muhimu sanaNimekaa hapa leo nikawa najiuliza ni kipi bora kati ya kilimo na ufugaji..
Kama unataka kuwa na pesa fuga.
Wafugaji wanajiweza kuliko wakulima.
Refer mgogoro wa wakulima na wafugaji utagundua wakulima wananyanyaswa kisa hawana uwezo wa kifedha