BAF JF-Expert Member Joined Apr 28, 2017 Posts 422 Reaction score 511 Oct 13, 2018 #1 Naam,jamani tupeane mawazo mtu asome kwanza Kisha atafute ajira au afanye kazi kwanza kwa level ya elimu ndogo kisha akajiendeleze? Najua Kuna watu watapata majibu yao Leo hapa.
Naam,jamani tupeane mawazo mtu asome kwanza Kisha atafute ajira au afanye kazi kwanza kwa level ya elimu ndogo kisha akajiendeleze? Najua Kuna watu watapata majibu yao Leo hapa.
Anti-Hacker JF-Expert Member Joined Oct 1, 2018 Posts 803 Reaction score 1,237 Oct 13, 2018 #2 We unaonaje...kipi bora
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,027 Oct 13, 2018 #3 Soma huku unatafuta ajira.
F Focused mind Member Joined Jun 10, 2018 Posts 15 Reaction score 9 Oct 13, 2018 #4 Ijapokuwa Elimu ni bora kuliko pesa lkn ni bora kusoma ukiwa na kazi. Coz kusoma ni gharama
KarlMarxG Member Joined Sep 14, 2018 Posts 19 Reaction score 3 Oct 13, 2018 #5 Ukisema elimu ndogo unamaanisha nn...?
Kiplayer JF-Expert Member Joined Oct 12, 2018 Posts 1,347 Reaction score 2,212 Oct 13, 2018 #6 Inategemea una umri gani, background ya familia unayotokea na majukumu uliyonayo. Hivyo hakuna jibu la jumla maana kila mmoja ana scenario yake.
Inategemea una umri gani, background ya familia unayotokea na majukumu uliyonayo. Hivyo hakuna jibu la jumla maana kila mmoja ana scenario yake.
Agresive JF-Expert Member Joined Feb 18, 2018 Posts 891 Reaction score 1,237 Oct 13, 2018 #7 ukipata fursa ya kufanya kazi ya kudumu hatakama una Elimu wewe unayoiita ndogo fanya kazi..utajiendeleza. unaweza soma mpaka Phd hlf ajira zenyewe ndiyo hizi za kulenga kwa manati. Lakini pia kila mtu afuate kile anachokiamini.
ukipata fursa ya kufanya kazi ya kudumu hatakama una Elimu wewe unayoiita ndogo fanya kazi..utajiendeleza. unaweza soma mpaka Phd hlf ajira zenyewe ndiyo hizi za kulenga kwa manati. Lakini pia kila mtu afuate kile anachokiamini.
KarlMarxG Member Joined Sep 14, 2018 Posts 19 Reaction score 3 Oct 13, 2018 #8 Agresive said: ukipata fursa ya kufanya kazi ya kudumu hatakama una Elimu wewe unayoiita ndogo fanya kazi..utajiendeleza. unaweza soma mpaka Phd hlf ajira zenyewe ndiyo hizi za kulenga kwa manati. Lakini pia kila mtu afuate kile anachokiamini. Click to expand... Mkuu PhD acha kumix mambo
Agresive said: ukipata fursa ya kufanya kazi ya kudumu hatakama una Elimu wewe unayoiita ndogo fanya kazi..utajiendeleza. unaweza soma mpaka Phd hlf ajira zenyewe ndiyo hizi za kulenga kwa manati. Lakini pia kila mtu afuate kile anachokiamini. Click to expand... Mkuu PhD acha kumix mambo