Kipenzi Changu....... Mahabubaa (Dadii)....

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,236
36,268
Subal kheri mpenzi wangu usiyechosha wala usiyentoka akilini
Hakika umejua kunipumbaza, kila nikihadaa mawazoni umenijaa
Nafurukuta weeeh nikigeuka kulia nakukuta wanitazama kwa huba
Nikigeuka kushoto waninyanyulia mikono kunikaribisha kifuani mwako unikumbatie
Nikirudi nyuma kabla sijajikwaa ushanidaka mikononi mwako na kunisemesha kwa macho yako yenye bashasha na huba la kitwana...
Niende wapi Kasie mie, natafuta nini mie huku na huko, shurti wanituliza na kuniliwaza...

Japoo, japoo... kuna muda wanipeleka uwanja wa mapambano, wanidunda dunda mfano wa kitenesi, kisha wanidanadana mfano wa mpira wa ngozi, kisha wanipiga tikitaka na wewe kupiga samasoti mithili ya Sonic kuniwahi kabla hujafunga goli kwa madaha, wanituliza kwenye goti na kuendeleza danadana za aste aste kisha wanipandisha kifuani na kunirushia kichwani kwako hapo utapiga vichwa kadhaa na ukiona sasa niko tilalila hoi bin rojorojo unaongeza makeke na mbio na spidi ohh lala la la la la la la la la gooooooooooooooooooooooal.....!!!

Huku nikiwa nimefumba macho, najikuta natamka maneno nisiyoyasikia wala kuyaelewa na kuishia kusema asante mahabuba.

Rukhsa sasa uzime taa tulale.

Nakupenda Mahabuiba wangu wa pekee (Dadii) kwa vyovyote sikushuku...

K' Mahaba.
 
He he! Misifa mingiii kumbe vimtu vyenyewe vizee😜
Sasa hilo goli la kizee si huwa mnalitafuta kwa masaa lukuki!!
Halafu unakuta ni goli moja tu ila linavyotiwa madikodiko na mashamsham mpk NIMEKUTAMANI!!!

Sasa kasie mpenzi kwanini usiliache hilo lizee unaloliita dadii.. Tena ungeongeza dadii mapengo!
Njoo hapa kwenye upepo mwanana!,nikutie vitasa vya huba kwa banana!
Nitakuwa ngao yako,nitakupa mapenzi yako yote!
Yasirini nitayatunza,ya mwilini nitayafumba
Kwa utamu nitakumimba, mwanadamu nitavimba😜
 
Unatuua huku wenzio mam yaan uo ufundi ulionao mi ndo ugonjwa wang maana nimeangaika sana kutafuta fundi mzuri nimekosa

Sent using Jamii Forums mobile app

Aahahahahhahahahaaaaa Joo

Unatafuta fundi yupi, makenika, welding, plumbing au wiring...!??

Naogopa madakesi mie za kuua mtu bila kukusudia, kama ndivyo ninusuru na kesi ya mauaji kwa kukaa mbali nami mwenzio polisi napaogopa....

Happy Weekend Jo.
 
Kweli ulipata ya moto mpaka ukaomba ulale?huyo jamaa usimwache mana siku hizi wanaume ni wachache wakuwakimbiza wanawake!!wanawake wengi hamupati mashine mujarabu!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Aaahahhaahhaahahaaa asante kunifahamisha, namtunzaje asiniponyoke na wasinipore maana laaah nikimkosa Dadii sijui kama kuna atayeniwezea.....

He is unique in his own ways very speacial to the way it is unexplainable...

To be honest am thankful.....

K' Mahaba Matata.
 
He he! Misifa mingiii kumbe vimtu vyenyewe vizee😜
Sasa hilo goli la kizee si huwa mnalitafuta kwa masaa lukuki!!
Halafu unakuta ni goli moja tu ila linavyotiwa madikodiko na mashamsham mpk NIMEKUTAMANI!!!

Sasa kasie mpenzi kwanini usiliache hilo lizee unaloliita dadii.. Tena ungeongeza dadii mapengo!
Njoo hapa kwenye upepo mwanana!,nikutie vitasa vya huba kwa banana!
Nitakuwa ngao yako,nitakupa mapenzi yako yote!
Yasirini nitayatunza,ya mwilini nitayafumba
Kwa utamu nitakumimba, mwanadamu nitavimba😜

Aahahahahahah Kenzy, we endelea kutamani tuu Ila usishikwe na mawivu. Huyu babu anajua swichi zote zilipo, hana papara wala haraka na sokoni tunafika tunachukua nahitaji yetu jikoni tunaingia pamoja, yeye akikatwanga mie napepeta...yeye akipondaponda mie nakatakata...vikiiva twalishana bila kuumana aahahahahahaaaa
Vitaamuuuu asikwambie mtu.
 
Hahahaaa Kasie bana.

Hivi siku hizi watu wameacha kusema mimi ndo Dadii? :D :D

Aahahahahhaaaa Jabuuu siku hizi hawaulizi tena, itakuwa wanasema chinichini labda....

Ila ulipata maujiko kipindi kile wakidhani wewe ndo Dadii hadi wakawa wanakuonea wivu waziwazi....

Karibu kashata za nazi shatashata..... 😋
 
Kasie

Naandika barua ya maombi nihudhurie mafunzo ya mahaba ya nadharia na vitendo. Itabaki kuwa siri yetu.
 
Bila shaka ni hiyo tar 8 mwez march
simba vs yanga.
Kwako mwalimu kashasha a.k.a Kasie

Asajizooo mamboo,

Tarehe nane kuna nini tena?

Aahahahahahhaaa ati mwalimu Kashasha....

Ngoja nikanunue mihogo na chachandu kwanza nimesikia harufu yake mate yamenijaa mdomoni. Narudi sasa hivi.
 
Aaahahhaahhaahahaaa asante kunifahamisha, namtunzaje asiniponyoke na wasinipore maana laaah nikimkosa Dadii sijui kama kuna atayeniwezea.....

He is unique in his own ways very speacial to the way it is unexplainable...

To be honest am thankful.....

K' Mahaba Matata.
Ahaahaa wewe Kingwi hatar...hivi Kasie..una umri gani?mana nahisi kama umevuka umri wa utoto wa kike..menopause haijafka kwl mana wengi mkifika stage hyo mahamu yenu yanakwenda slow sana Wewe umri gani Kungwiii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom