Kipenda roho hula nyama mbichi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,669
Reaction score
57,082
Kipenda roho, kipenda roho...
Kipenda roho, kipenda roho hula nyama mbichi
Kipenda roho haoni wala hasikii
Akipenda anapenda oh
Akipenda hasikii
Kipenda roho, kipenda roho...
Eeh ni ya nini wee mgugu
Wala penzi ya nini wee mnyama
Jamaa kimajini wanazaana oh
Kunguru ukiona jioni wanapita kwa wingi wanafunga ndoa eeh
Kipenda roho, kipenda roho...
Eeh ni ya nini ubaguzi
Eeh ni ya ni na ubaguzi
Eeh mi ningalikuwa na ubaguzi
Jinsi wabaya ungelia oh
Sisi wabaya tulipata kitu
Sisi ni wee na hatungesema tena eh
Lakini penzi halina ubaguzi
Mbele mapenzi kiwete anatembea
Mbele mapenzi kiwete anapakatwa
Alafu 'tashikwa na mshangazo
Kiwete ana mtoto
Alafu 'tashikwa na bumbuwazi
Kichaa ana mimba eeh
Amepata mshikaji wake
Kipenda roho, kipenda roho
Kipenda roho, kipenda roho...
Eeh nyi wakula pole
Eeh nyi wanijali umeokoka
Wee unasema umeokoka eeh
Kwanza una mke na watoto
Wale watoto umewazaazaa vipi baba
Na mama watoto usipo na...
Kipenda roho, kipenda roho...
Jamani siku hizi mapenzi yameogopewa eeh
Ukimwi umeota mizizi kwa mapenzi
Kutomboza tunaogopa
Hata kupenda tunaogopa
Ukimwi umeota mizizi
Siku hizi hakuna tena mapenzi
Siku hizi mapenzi yamekufa eeh
Mama yako aliolewa na mapangala
Lakini wasichana wa Dar Salaama eeh
Wanataka pesa
Kipenda roho, kipenda roho

 
Co kweli kwamba watu wanaogopa kupenda kisa ukimwi umeota miziziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Kuna time inafika unakutana na demu mkali kiasi kwamba unadhani pengine huyu manzi mungu wenda alimuumba akiwa hana kbisa hana mambow mengi kwa hyo cku. Sas issue inakuja kwamba huyo manzi aseme amekanyaga nyanyaπŸ˜‚πŸ˜‚. Mzeeh Bab kuna viumbe huku duniani hawata amini kamwe unless apewe kidhibitisho na muhusika. Kiufupi ni kwamba kuna watu wanapata magonja haya kwa kujitakia tu na saiv ukimwi watu hawaogopi kama kipindi cha nyuma unless uzuke ugonjwa mwingine very danger kushinda corona na ukimwi au hata ukomaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…