Kipenda roho hula nyama mbichi...

Wanakula na chumvi wenzako, wanakula wamevumba macho
 
NYAMA MBICHI ukiitia ndimu, chumvi na WASSABI = unapata SUSHI.

Mmmmm, yam-yam.

Hujui wanaopenda wanafuata muonjo gani.

Wa nyama mbichi au
Wa ndimu, chumvi na wassabi.
Doh povu
 
"Sura pua mdomo meno havina ushirikiano akicheka kama analia kwani hawa madogo wametokea kuzimu Au hapa duniani mbonaaaa?!"

aisee wenye sura chachu kazi tunayo
 
Umegusia jambo la msingi.
Kuna yule jamaa wanamwita Sheta, sura yake huwa kama analia na kucheka kwa wakati mmoja. Halafu mdomoni utafikiri ametafuna meno yake mwenyewe. Na macho yake ni kama ndubwi mwendokasi. Wanawake mnavumilia mengi sana aisee!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
dadeki!!!
 
Wewe mwenywe una umbo kama roobot hueleweki nyuma na mbele Sawa alafu unakuja kukosoa wanaume hapa, mwanaume sio sura mwanaume mashine.
 
Mmh sio kwa ukosoaji huo!..lakin hawakujiumba wao...dunia pia huumba ndo maan waswahil husema hujafa hujaumbika
 
"Sura pua mdomo meno havina ushirikiano akicheka kama analia kwani hawa madogo wametokea kuzimu Au hapa duniani mbonaaaa?!"

aisee wenye sura chachu kazi tunayo
Nawaona nawaonaa
 
Wewe mwenywe una umbo kama roobot hueleweki nyuma na mbele Sawa alafu unakuja kukosoa wanaume hapa, mwanaume sio sura mwanaume mashine.
Sauwa
Ushawahi kuniona live lkn?
Ungekuwa umeniona usingeongea haya nenda kwa website yangu ukanione
 
Mmh sio kwa ukosoaji huo!..lakin hawakujiumba wao...dunia pia huumba ndo maan waswahil husema hujafa hujaumbika
Sawa mama kwahiyo?!
Kama ipo ipo tu kama hamna hamna pia
Mbona vzuri mnaviongelea vbaya vikisemwa shida ee?!
 
hahahahah! kwli wana sura mbaya ila wanachunikandio maana akina wema, wolper na aunt ezekiel wametulia.
 
Kumbuka hujafa hujaumbika, maana ulichoandika Ni kumkosoa aliyekuumba
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…