Kipanya's IQ

Bunge la kuheshimika amekufa nalo 6 na ameshindwa kuvaa viatu vya 6, Pombe inampelekesha Ndungai. Hajitambu anacheza mziki wa Pombe na Pombe ndio inayoongoza Bunge kutoka Magogoni.
Pombe bia ama pombe nomino?
 
daaaa. baada ya kusoma post za wengine ndiyo angalau nimepata mwanga.
kwanza ilichorwa tarehe 14/09/17. inajulikana kulee bongeni kulikuwa na umbeya wa kutosha. kweri RIP 6. BONGE NIULEVI MTUPU KWA SASA
Fine. Lakini mm nimetafsiri zaidi ya hapo.
Kwamba spika hawezi kukivaa kiatu cha r.i.p Sitta kwa kuwa kalewa madaraka.
Na ulevi huo unaomyumbisha sana hadi asiweze kwenda vizuri ni "Pombe" siyo pombe uijuayo wewe.
 
Duuuh ngoja niseti kichwa vizuri labda ndio nitaelewa
 
This bonge what does it mean? Hapo pa sita nimeelewa
anamaanisha lile jengo tukufu pale dodoma limelewa na hii yote ni kwa sababu hakuna tena uongozi mzuri kama aliokuwa nao sitta enzi hizo akiwa spika.
 
una bullet proof ??
 
Uspika wa bunge umeishia kwa Almarhum Samweli John Sitta mjukuu/kitukuu wa mtemi Mirambo.
Spika wa sasa amelewa itikadi za chama chake ( chupa ya kijani) hukuakiwakandamiza na kuwakanyaga wapinzani wa serikali (soksi ya buluu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…