Kipanya tena kwenye ubora wake

Hahahaa hii katuni ilitumwa naona post ilifutwa haraka sana wakati nakazana kurespond.
 
Hahaha!!! Mpaka 2020 watakuwa wamerudi wote kwenye system! Mahakama ya mafisadi kuna majaji wanapiga hela kiulainiiiiiiiii wanasubiri kesi
 
Naomba:Masoud Kipanya,Achore picha yenye kuonyesha makaburi ya wanasiasa yakiachwa,lakini makaburi ya watumishi yanafukuliwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…