Kipanya nuksi jamani

Unataka utapike mkuu??? Nenda kale malimaoo
 
Ktk Artist ninaowakubali ni huyu jamaa maana anatumia sana akili kufikisha ujumbe....Big up Masoud Kipanya.
 
Kipanya Tuombe Radhi Wapenzi Wa Yanga.Vinginevyo Tutakupandisha Kortini.
 
Kumbukumbu nzuri sana kwenye jumba la makumbusho kuonesha jinsi goli la mkono lilivyozuiliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…