Kipanya nomaaaa, Isemee na wewe picha hii.

Hana shida,dogo ana ukwasi wa kutosha ndiyo maana hakimbizwi kifikra
 
Ndio maana alifukuzwa clouds ana mabo huyu!lol
 
I salute you the Great Thinker KIPANYA aka Kimouse
 
mkubwa! Jamaa huwa na mkubali sana,....sina swali hongera sana Masoud
 
huyu jamaa ni intelligent sana na bahati nzuri yuko open minded sana..si mnafiki kama wengi wa watu wa media

big up sana kipanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…