Unategemea nini kipindi cha uchaguzi?
Hahahahaaahahahaaaaa ..... sasa wiki hii atakiona!
Mpaka mzee wa watu aombe jamani, heh heh.
Lol.
Lowassa ni HABARI na personality inayovutia Tanzania kwa sasa!
Hahahahaaaa, unausemea moyo eeh.
Hahahaa na mimi nitaazima siku nyingine!
Hahaha na wee wataka kuchorwa kwani...?.
Kweli lakini