sometimes huwa naweza tafuta mwananchi ili nisome kipanya tu. Hivi hawezi weka kama album au kumbukumbu kwa vile vilivopendwa zaidi iwee kumbukumbu ukiboreka unakaa unapitia unacheka?. Baadhi ya vipanya nilivopenda ni pale mheshimiwa JK aliulizwa na kipanya kuh zigo alilobeba akajibu ' vipisi' aliulizwa ' vipi.......'
pia kuna kipanya kilikuwa kinaonyesha ndege aliokuja nayo raisi wa china kikisema wa kutengeneza yule halisi hakuja.....heheheheee, i like the guy
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.