Mzoamaganda
Member
- Aug 12, 2011
- 76
- 24
Inashangaza kweli kuona watu wana mawazo ya kipumbavu.Zanzibar hakuna mtu asiejua anachokifanya, wala hakuna mtu atakae juta kwa kuvunjika muungano.
Kuna kila ushahidi unaonesha kuwa muungano ndio sababu kuu ya kudhoofika Zanzibar kiuchumi.Kila mwenye akili angelianza kwanza kutazama ni wakati gani Zanzibr imezorota kiuchumi.
Anyways, ukibishana na vilaza ...nawe utakolea ulaza :sleepy:
Inashangaza kweli kuona watu wana mawazo ya kipumbavu.Zanzibar hakuna mtu asiejua anachokifanya, wala hakuna mtu atakae juta kwa kuvunjika muungano.
Kuna kila ushahidi unaonesha kuwa muungano ndio sababu kuu ya kudhoofika Zanzibar kiuchumi.Kila mwenye akili angelianza kwanza kutazama ni wakati gani Zanzibar imezorota kiuchumi.
Anyways, ukibishana na vilaza ...nawe utakolea ulaza :sleepy:
Kuna kila ushahidi unaonesha kuwa muungano ndio sababu kuu ya kudhoofika Zanzibar kiuchumi.Kila mwenye akili angelianza kwanza kutazama ni wakati gani Zanzibar imezorota kiuchumi.
mtoto akililia wembe mwache umkate. hakuna sababu ya kuendelea kuwabembeleza.
ila upande wa vurugu za juzi mi nina mtazamo mwingine ukilitazama kwa haraka jambo hili utaona waisilamu wamefanya fujo kubwa sana lakini hebu tujiulize fujo ilitokana na nini hasa?
mimi naona fojo yote imeanzishwa na polisi wetu tumejionea kure rufiji vita ya wakulima na wafugaji polisi ndio walikuwa perol katika sakata hilo. twende Arusha maandamano yalikuwa ya amani lakini polisi walipoingilia kwa nguvu vurugu zikatokea
tumshajionea maandamano yasipoingiliwa na polisi mbona huwa yanaisha kwa amani tu. masalani mkutano wa CDM jumamosi kama polisi wangeamua kuingilia na kupinga maandamano ya watu kwenda mkutanoni nahisi ingetokea fujo ambayo ni vigumu kuitathimini na polisi wangesema CDM wamefanya fujo.lakini mambo yamekwenda salama bila fujo yeyote
tukirudi kure Zenji waisilamu walikuwa na swala zao kama kawaida baadae wakaamua kuandamana wakajue kulikoni viongozi wao kwanini wameshikiliwa na jeshi la polisi. Hivi pangetokea kiongozi wa polisi akawasikiliza na kuwafafanulia kilicho tokea fujo hizo zisingetokea na makanisa yasingechomwa.
lakini kama kawaida ya jeshi letu liliamua kuzima maadamano hayo kwa nguvu zote na matokeo yake wote tunayajua na sasa wanalaumiwa waisilamu!!!!
Kwa hiyo unahalalisha kuchomwa kwa makanisa, au? Wenye akili timamu wanajiuliza: kwa nini wachokozwe na polisi afu WACHOME MOTO MAKANISA??????????? Kwa nini hamjibu swali hili? Huko Arusha na Rufiji unakotaja wananchi walipochokozwa na polisi kwa nini hawakuchoma makanisa? Au wenzetu huko zenji polisi wana kaa makanisani? Kama huna hoja usijidhalilishe!
ndo hapo naposhindwa kuwaelewa makanisa yana uhusiano gani na muungano, ni kwamba wanatuchokoza tu wakristu na wametukuta watu wenyewe hatuna muda wa majibizano nao sisi tunawaza maendeleo tu........wapi tukajenge mashule, hospital etcKwa hiyo unahalalisha kuchomwa kwa makanisa, au? Wenye akili timamu wanajiuliza: kwa nini wachokozwe na polisi afu WACHOME MOTO MAKANISA??????????? Kwa nini hamjibu swali hili? Huko Arusha na Rufiji unakotaja wananchi walipochokozwa na polisi kwa nini hawakuchoma makanisa? Au wenzetu huko zenji polisi wana kaa makanisani? Kama huna hoja usijidhalilishe!
ndo wanachokiweza kufanya kazi hawataki hafu wanataka maendeleo.Hivi unakumbuka Rais wenu wa kwanza aliuawa akiwa anafanya shughuli gani?...alikua anacheza bao na pembeni akiwa na bakuli la urojo.