Ahaaaaa
I love it. Actually someone from Lumumba office has whispered to me that letters are on the way to "unpatriotic" MPs wa CCM - means, the Filikunjombes, Kessy's, Mukono's etc
Hahahahah inafurahisha sana.. Deo Fulikunjombe alisema wabunge wa ccm waoga si unaona mwenyewe vichwa vinawauma wengine wanataka kunyoosha vidole lakini wanaishia kujikuna kichwa mmba mwingi...kazi kweli kweli!