Kipanya katika ubora wake.

Slaa na Magufuli wamezaliwa siku moja na mwezi mmoja
na wote ni wakatoliki.......connect the dots...wote wanamsikiliza Pengo...Lowassa na Gwajima
 
Huyo pembeni yao ni nani vile?
 
haaa haaaa hapo round two tu Alinselema yupo down......cjui alipigwa apacut vile au ya chembe.
 
Slaa na Magufuli wamezaliwa siku moja na mwezi mmoja
na wote ni wakatoliki.......connect the dots...wote wanamsikiliza Pengo...Lowassa na Gwajima

lowasa sio mkatoliki bali mke
wake
 
Slaa na Magufuli wamezaliwa siku moja na mwezi mmoja
na wote ni wakatoliki.......connect the dots...wote wanamsikiliza Pengo...Lowassa na Gwajima
Mmh, sijui kama ni kweli,
Ila Lowasa ni Lutheran (KKKT).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…