Kipanya kanena!

Kipanya amesahu sifa moja: USIWE MWANA UKAWA
 
Kipanya uko vizuri sana upstairs and i wonder baba riz1 mbona hajakuona kipindi anchagua hao waimba ngonjera asingekuongeza na wewe japo uwe unarusha moja kwa moja toka mjengoni?kuna ile ya yule jamaa wa kenya imekaa vizuri sana mwenye hiyo clip embu japo muirushe to help me make my day pls( i need a big lough)
 
haya ndio matumizi mujarab ya sanaa
 
Atakatiwa matangazo maisha plas yake watu awataingalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…