Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Mie hata sijaelewa
Hamna mgombea wa kike?
"Ukimuona mtu analilia kwenda ikulu muogope kama ukoma"
URAIS wenyewe umewakilishwa na mwanamke mrembo,wanaume wakware udenda unawatoka. Hapo mwanamke atakayemtamani wa jinsi yake ni msagaji.Hamna mgombea wa kike?
Kwa hiyo wote wanaogombea uraisi wanataka wapate warembo ama?
Daaanh yupo mbioni kubakwa, majamaa uchu umezidi!!!!!!
[h=3][/h]
wa pili toka kulia ni wassira
Kwa hiyo wote wanaogombea uraisi wanataka wapate warembo ama?